Leo tar 13/06/2014 maelfu ya vijana wa kitanzania wamejitokeza katika uwanja wa taifa jijini Dar- es -Salaam katika kufanya Interview(Usaili) wa nafasi zilizotolewa na wizara ya Uhamiaji (Immigration). Nafasi zinazohitaji watu ni zipatazo 70 tu. Swali la kujiuliza??
Ni Vijana wangapi wako mitaani na hawna cha kufanya kutokana na ukosefu wa ajira??na Je serikali na wananchi kwa ujumla tufanye nnkupunguza tatizo hili??