Tangaza Kazi yako Bure Hapa iwafikie watanzania...(MZUMBE COMMUNITY MEMBERS ONLY)


Kwa wale ambao wana kazi zao mbalimbali na wangependa jamii yetu hasa ya mzumbe na kwingineko waitambue wanakaribishwa kutuma kazi hizo kupitia email adress georeez@gmail.com na tutakuwa tunaweka kazi hizo kwenye matangazo ya blog yetu www.mustudentsblog.blogspot.com pia katika facebook page yetu na google + Page  lengo likiwa ni kuhakikisha tunatambua mchango wa wahitimu wa chuo na wale ambao bado hawajahitimu katika kujiongezea kipato na kuisaidia jamii yetu ya kitanzania...

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post