KUITWA KWENYE USAILI- JESHI LA POLISI TANZANIA





CLICK ON THE IMAGE TO DOWNLOAD FULL LIST 
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili wahitimu walioorodheshwa wa vyuo vya Elimu ya Juu na vya Ufundi Stadi

Kwa Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi baada ya usaili kukamilika

Maelekezo Muhimu.
  1. Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.
  2. Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili waandaliwe usafiri wa kuwapeleka Shule ya Polisi Tanzania tarehe 30/11/2014.
 

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post