Takriban watu 24 wamekufa mjini
Conakry Guinea baada ya umati kukanyagana katika sherehe ya kuadhimisha
kukamilika kwa mfungo wa ramadhan.
Shamra shamra hizo zilihudhuriwa na kundi la wanamziki la Instinct Killers ambao walikuwa kivutia kwa uma.
Utawala nchini humo umefunga fuo zote mjini Cananky na kumfuta kazi kiongozi wa shirika lililoandaa sherehe hizo.
Kumetangazwa pia wiki moja ya maombolezi.
SOURCE: BBC