UTARATIBU WAKUTUNUKU MATOKEO YAMTIHANI WAKIDATO CHANNE NACHASITA KWA KUTUMIA MFUMO WA GPA
1. Mfumo wa Wastani wa Pointi (Grade Point Average - GPA)
• Huonesha wastani wa pointi alizopata mtahiniwa katika masomo aliyofaulu katika mtihani wake.
• GPA hutokana na masomo saba (07) aliyofaulu vizuri zaidi mtahiniwa katika Mtihani wa Kidato cha Nne na masomo matatu
(03) ya tahasusi katika Mtihani wa Kidato cha Sita. Mtahiniwa aliyefanya masomo pungufu ya 07 kwa CSEE au pungufu ya 03
kwa ACSEE, atafaulu katika kiwango cha “Pass” endapo atapata angalau Gredi D katika masomo mawili au gredi C, B, B+ au A
katika somo moja
DISTINCTION | MERIT | CREDIT | PASS | FAIL | |||||
GPA | 3.6 - 5.0 | 2.6 - 3.5 | 1.6 - 2.5 | 0.3 - 1.5 | 0.0 - 0.2 |